2 Sam. 19:32 SUV

32 Naye huyo Barzilai alikuwa mzee sana, amepata umri wa miaka themanini; naye amemlisha mfalme hapo alipokuwapo Mahanaimu; kwa kuwa alikuwa mtu mwenye cheo kikubwa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:32 katika mazingira