2 Sam. 19:35 SUV

35 Nimepata leo miaka themanini; nami je! Naweza kupambanua mema na mabaya? Mimi mtumwa wako, je! Naweza kuonja nilacho au ninywacho? Naweza kusikia tena sauti ya waimbaji waume na wake? Kwa nini basi mtumwa wako amlemee bado bwana wangu mfalme?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:35 katika mazingira