2 Sam. 19:38 SUV

38 Mfalme akajibu, Haya, Kimhamu na avuke pamoja nami, nami nitamtendea yaliyo mema machoni pako wewe; na kila utakalotaka kwangu, mimi nitalifanya kwa ajili yako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:38 katika mazingira