2 Sam. 19:6 SUV

6 kwa kuwa unawapenda wakuchukiao, na unawachukia wakupendao. Maana umetangaza leo ya kuwa wakuu na watumishi wako si kitu kwako; maana leo nimetambua hivi; kama Absalomu angaliishi, na sisi sote tungalikufa leo, ingalikuwa vyema machoni pako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:6 katika mazingira