2 Sam. 2:10 SUV

10 (Huyo Ishboshethi, mwana wa Sauli, umri wake alikuwa amepata miaka arobaini alipoanza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka miwili.) Lakini nyumba ya Yuda waliandamana na Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:10 katika mazingira