2 Sam. 2:13 SUV

13 Huyo Yoabu naye, mwana wa Seruya, na watumishi wa Daudi, wakatoka, wakakutana nao karibu na ziwa la Gibeoni; wakaketi, hawa upande huu wa ziwa, na hawa upande huu wa ziwa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:13 katika mazingira