2 Sam. 2:16 SUV

16 Wakakamatana, kila mtu akimshika mwenziwe kichwa chake, na kutia upanga wake katika ubavu wa mwenzake; wakaanguka pamoja; hata mahali pale pakaitwa Helkath-hasurimu, napo ni katika Gibeoni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:16 katika mazingira