2 Sam. 2:19 SUV

19 Naye Asaheli akamfuatia Abneri; na katika kwenda kwake hakugeuka kwenda mkono wa kuume wala mkono wa kushoto katika kumfuatia Abneri.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:19 katika mazingira