2 Sam. 2:29 SUV

29 Wakaenda Abneri na watu wake usiku ule wote kati ya ile Araba; wakavuka Yordani, wakapita kati ya Bithroni yote, wakaja Mahanaimu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:29 katika mazingira