2 Sam. 2:32 SUV

32 Nao wakamwinua Asaheli, wakamzika katika kaburi la baba yake, lililokuwako Bethlehemu. Yoabu na watu wake wakaenda usiku kucha, wakapambazukiwa huko Hebroni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:32 katika mazingira