2 Sam. 2:7 SUV

7 Basi sasa, mikono yenu na itiwe nguvu, nanyi iweni mashujaa; maana Sauli, bwana wenu, amekufa, tena nyumba ya Yuda wamenitia mimi mafuta niwe mfalme juu yao.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:7 katika mazingira