2 Sam. 20:12 SUV

12 Lakini Amasa alikuwa anagaagaa katika damu yake katikati ya njia kuu. Basi yule mtu alipowaona watu wote wamesimama, akamwondoa Amasa toka njia kuu akamtia kondeni, akamfunika nguo, hapo alipoona ya kuwa kila mtu aliyefika kwake amesimama.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:12 katika mazingira