2 Sam. 20:17 SUV

17 Basi akamkaribia; na yule mwanamke akasema, Ndiwe Yoabu? Akajibu, Ndimi. Ndipo akamwambia Sikia maneno ya mjakazi wako. Akajibu, Mimi nasikia.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:17 katika mazingira