2 Sam. 20:3 SUV

3 Basi Daudi akaja Yerusalemu nyumbani kwake; kisha mfalme akawatwaa wale wanawake kumi, masuria, aliowaacha kuitunza nyumba, akawatia nyumbani mwa kulindwa, akawalisha, ila asiingie kwao. Basi wakafungwa hata siku ya kufa kwao, huku wakiishi hali ya ujane.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:3 katika mazingira