2 Sam. 20:6 SUV

6 Basi Daudi akamwambia Abishai, Sasa Sheba, mwana wa Bikri, atatudhuru, kuliko Absalomu; twaa wewe watumishi wa bwana wako, ukamfuatie, asiingie katika miji yenye boma, na kujiponya machoni petu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:6 katika mazingira