2 Sam. 21:12 SUV

12 Akaenda Daudi, akaitwaa mifupa ya Sauli na mifupa ya Yonathani mwanawe mikononi mwa watu wa Yabesh-gileadi; waliyoiiba katika njia ya Bethshani, hapo Wafilisti walipowatungika, katika siku hiyo waliyomwua Sauli huko Gilboa;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:12 katika mazingira