23 Alikuwa mwenye heshima kuliko wale thelathini, ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu. Naye Daudi akamweka juu ya walinzi wake.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 23
Mtazamo 2 Sam. 23:23 katika mazingira