2 Sam. 23:5 SUV

5 Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA?Kwa kuwa amefanya nami agano la milele;Ina taratibu katika yote, ni thabiti,Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 23

Mtazamo 2 Sam. 23:5 katika mazingira