2 Sam. 24:14 SUV

14 Naye Daudi akamwambia Gadi, Nimeingia katika mashaka sana; basi sasa na tuanguke katika mkono wa BWANA; kwa kuwa rehema zake ni nyingi; wala nisianguke katika mkono wa wanadamu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 24

Mtazamo 2 Sam. 24:14 katika mazingira