2 Sam. 24:2 SUV

2 Basi mfalme akamwambia Yoabu, jemadari wa jeshi la askari, waliokuwa pamoja naye, Zunguka sasa katikati ya kabila zote za Israeli, tangu Dani mpaka Beer-sheba, mkawahesabu watu, nipate kujua jumla ya hao watu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 24

Mtazamo 2 Sam. 24:2 katika mazingira