2 Sam. 24:20 SUV

20 Huyo Arauna akatazama, akamwona mfalme na watumishi wake wakimjia; Arauna akatoka, akasujudu mbele ya mfalme kifulifuli hata nchi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 24

Mtazamo 2 Sam. 24:20 katika mazingira