2 Sam. 24:25 SUV

25 Naye Daudi akamjengea BWANA madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Basi BWANA aliiridhia nchi, na tauni ikazuiliwa katika Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 24

Mtazamo 2 Sam. 24:25 katika mazingira