2 Sam. 3:16 SUV

16 Huyo mumewe akafuatana naye, akiendelea na kulia, akamfuata mpaka Bahurimu. Ndipo Abneri akamwambia, Haya, rudi. Naye akarudi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:16 katika mazingira