2 Sam. 3:31 SUV

31 Kisha Daudi alimwambia Yoabu, na watu wote waliokuwa pamoja naye, Rarueni nguo zenu, mkajivike nguo za magunia, mkamlilie Abneri. Naye mfalme Daudi akaifuata jeneza.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:31 katika mazingira