2 Sam. 4:11 SUV

11 Basi, iwapo watu waovu wamemwua mtu mwenye haki kitandani mwake, je! Sasa nisitake zaidi damu yake mikononi mwenu, na kuwaondoa ninyi katika nchi?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 4

Mtazamo 2 Sam. 4:11 katika mazingira