2 Sam. 4:5 SUV

5 Na wale wana wa Rimoni, Mbeerothi, Rekabu na Baana, wakaenda wakafika nyumbani kwa Ishboshethi, wakati wa hari ya mchana, alipokuwa akipumzika adhuhuri.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 4

Mtazamo 2 Sam. 4:5 katika mazingira