2 Sam. 4:7 SUV

7 Basi walipoingia katika ile nyumba, alipokuwa amelala kitandani mwake, katika chumba chake cha kulala, wakampiga, wakamwua, wakamkata kichwa, wakachukua kichwa chake, wakaenda zao kwa njia ya Araba usiku kucha.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 4

Mtazamo 2 Sam. 4:7 katika mazingira