2 Sam. 5:1 SUV

1 Ndipo kabila zote za Israeli wakamwendea Daudi huko Hebroni, wakasema naye, wakinena, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:1 katika mazingira