2 Sam. 5:17 SUV

17 Na hao Wafilisti waliposikia kwamba wamemtia Daudi mafuta ili awe mfalme juu ya Israeli, Wafilisti wote wakapanda kumtafuta Daudi; naye Daudi akapata habari, akashuka akaenda ngomeni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:17 katika mazingira