2 Sam. 5:24 SUV

24 Kisha itakuwa, hapo utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo nawe ujitahidi; kwa maana ndipo BWANA ametoka mbele yako awapige jeshi la Wafilisti.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:24 katika mazingira