2 Sam. 5:3 SUV

3 Basi wazee wote wa Israeli wakamwendea mfalme huko Hebroni, naye mfalme Daudi akapatana nao huko Hebroni mbele za BWANA; wakamtia Daudi mafuta awe mfalme juu ya Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:3 katika mazingira