2 Sam. 5:6 SUV

6 Kisha mfalme na watu wake wakaenda Yerusalemu ili kupigana na Wayebusi, wenyeji wa nchi ile; hao ndio waliomwambia Daudi, wakisema, Usipowaondoa vipofu, na viwete, hutaingia humu kamwe; huku wakidhania ya kuwa Daudi hawezi kuingia humo.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:6 katika mazingira