2 Sam. 5:8 SUV

8 Naye Daudi alisema siku hiyo, Yeye atakayewapiga Wayebusi, na apande kwenye mfereji wa maji, na kuwapiga viwete, na hao vipofu, ambao roho yake Daudi inawachukia. Kwa sababu hii watu husema, Wako vipofu na viwete hawawezi kuingia nyumbani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:8 katika mazingira