2 Sam. 6:11 SUV

11 Sanduku la BWANA akalitia katika nyumba ya Obed-edomu, Mgiti, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akambarikia Obed-edomu, na nyumba yake yote.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:11 katika mazingira