2 Sam. 6:3 SUV

3 Wakaliweka sanduku la Mungu juu ya gari jipya, wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu, iliyoko kilimani; nao Uza na Ahio wana wa Abinadabu wakaliendesha lile gari jipya.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:3 katika mazingira