2 Sam. 6:5 SUV

5 Daudi na nyumba yote ya Israeli wakacheza mbele za BWANA kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa kayamba, na kwa matoazi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:5 katika mazingira