2 Sam. 7:29 SUV

29 basi, sasa, uwe radhi, ukaibarikie nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, Ee Bwana MUNGU, umelinena na kwa baraka yako nyumba ya mtumwa wako na ibarikiwe milele.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:29 katika mazingira