2 Sam. 8:14 SUV

14 Akaweka askari wenye kulinda ngome katika Edomu; katikati ya Edomu yote akaweka ngome, na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 8

Mtazamo 2 Sam. 8:14 katika mazingira