2 Sam. 8:2 SUV

2 Akapiga Moabu, akawapima kwa kamba hali wamelazwa chini; akapima kamba mbili za kuuawa, na kamba moja nzima ya kuhifadhi hai. Wamoabi wakawa watumwa wa Daudi, wakaleta zawadi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 8

Mtazamo 2 Sam. 8:2 katika mazingira