2 Sam. 9:11 SUV

11 Ndipo Siba akamwambia mfalme, Mimi, mtumwa wako, nitatenda hayo yote kama bwana wangu, mfalme, alivyoniamuru. Na kwa habari za Mefiboshethi, mfalme alisema, Atakula mezani pangu, kama mmojawapo wa wana wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:11 katika mazingira