2 Sam. 9:13 SUV

13 Basi Mefiboshethi akakaa Yerusalemu; maana alikuwa akila chakula sikuzote mezani pa mfalme; naye alikuwa na kilema cha miguu yote miwili.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:13 katika mazingira