2 Sam. 9:9 SUV

9 Ndipo mfalme akamwita Siba, mtumwa wa Sauli, akamwambia, Mali yote yaliyokuwa ya Sauli na ya nyumba yake nimempa mwana wa bwana wako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:9 katika mazingira