Dan. 10:12 SUV

12 Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyenyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:12 katika mazingira