Dan. 11:13 SUV

13 Kwa maana mfalme wa kaskazini atarudi, naye atapanga jeshi kubwa kuliko lile la kwanza; naye hakika atakuja mwisho wa zamani zile, yaani, baada ya miaka kadha wa kadha, pamoja na jeshi kubwa na mali nyingi.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:13 katika mazingira