Dan. 11:25 SUV

25 Naye atachochea nguvu zake na ushujaa wake juu ya huyo mfalme wa kusini kwa jeshi kubwa; na mfalme wa kusini atafanya vita kwa jeshi kubwa mno lenye nguvu nyingi; lakini hatasimama; maana watatunga hila juu yake.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:25 katika mazingira