Dan. 11:27 SUV

27 Na katika habari za wafalme hao wawili, mioyo yao watanuia kutenda madhara, nao watasema uongo walipo pamoja mezani; lakini hilo halitafanikiwa; maana mwisho utatokea wakati ulioamriwa.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:27 katika mazingira