Dan. 11:30 SUV

30 Maana merikebu za Kitimu zitakuja kupigana naye; basi atavunjika moyo, naye atarudi na kulighadhibikia hilo agano takatifu; na kutenda kadiri apendavyo; naam, atarudi, na kuwasikiliza walioacha hilo agano takatifu.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:30 katika mazingira