32 Na wao wafanyao maovu juu ya hilo agano atawapotosha kwa maneno ya kujipendekeza; lakini watu wamjuao Mungu wao watakuwa hodari, na kutenda mambo makuu.
Kusoma sura kamili Dan. 11
Mtazamo Dan. 11:32 katika mazingira