Dan. 11:37 SUV

37 Wala hataijali miungu ya baba zake; wala yeye aliyetamaniwa na wanawake; wala hatamjali mungu awaye yote; maana atajitukuza mwenyewe juu ya wote.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:37 katika mazingira