Dan. 12:10 SUV

10 Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.

Kusoma sura kamili Dan. 12

Mtazamo Dan. 12:10 katika mazingira